Loading...

Tanzia: Aliyekuwa mchezaji wa Simba SC afariki dunia


MCHEZAJI nyota wa zamani wa Simba, Urther Mambeta amefariki dunia jana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mambeta alikuwa mmoja wa wachezaji wa Klabu ya Sunderland kabla ya kubadilishwa jina na kuitwa Simba Sc kutokana na agizo la Serikali ya Tanganyika wakati huo kusisitiza timu kutumia majina ya Kiswahili.


Mambeta alikuwa mmoja wa wachezaji walioanza kuichezea Simba mwanzoni kabisa na taarifa zimeeleza msiba wake utakuwa Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Tanzia: Aliyekuwa mchezaji wa Simba SC afariki dunia Tanzia: Aliyekuwa mchezaji wa Simba SC afariki dunia Reviewed by Zero Degree on 3/01/2018 07:39:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.