Loading...

Breaking News: Msanii wa Bongo fleva, 'Jebby' afariki dunia


Msanii Jebby amefariki dunia leo nyumbani kwao huko Dodoma ambapo taarifa zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.


Msanii Jebby atakumbukwa kwa wimbo wake wa ‘Swahiba’ aliomshirikisha Afande Sele.

Mdogo wake Jebby amethibitisha kifo cha kaka yake na kusema alikuwa akisumbuliwa na uvimbe kwenye bandama na upungufu wa damu.

Wiki iliyopita Jebby aliomba kurudishwa kwao Dodoma baada ya hali yake kubadilika.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Breaking News: Msanii wa Bongo fleva, 'Jebby' afariki dunia Breaking News: Msanii wa Bongo fleva, 'Jebby' afariki dunia Reviewed by Zero Degree on 4/22/2018 04:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.