Loading...

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa NBAA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Isaya Jayambo Jairo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).

Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na kueleza kuwa uteuzi huo wa Prof. Jairo unaanza leo Aprili 11, 2018.

Soma hapa chini kwa taarifa kamili.


Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa NBAA Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa NBAA Reviewed by Zero Degree on 4/11/2018 02:19:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.