Loading...

SUMATRA yakanusha kupandisha nauli za mabasi


Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imakanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa imetangaza nauli mpya kwa mabasi yaendayo mikoani.

SUMATRA yakanusha kupandisha nauli za mabasi SUMATRA yakanusha kupandisha nauli za mabasi Reviewed by Zero Degree on 4/15/2018 11:50:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.