Azam yathibitisha kuachana na Himid Mao
Hayo yamewekwa wazi na Afisa Habari wa Azam FC, Jaffery Iddy na kusema Himid ameomba kuondoka ndani ya Klabu hiyo ili kwenda nje kucheza soka la kulipwa.
"Sisi hatuna kipingamizi, Himid ni mchezaji wetu wa muda mrefu tokea akiwa mdogo kabisa ameshiriki mafanikio mengi ya timu, mara baada ya kuleta maombi hayo sisi tulimkubalia na tunamtakia kila la kheri huko aendako katika maisha yake mapya", amesema Maganga.
Msimu uliopita Himid Mao alikuwa anahusishwa kujiunga na klabu ya Yanga lakini swala hilo lilishindikana kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kutokana na mkataba na Azam FC.

Reviewed by Zero Degree
on
6/01/2018 07:50:00 AM
Rating: