Loading...

Tanzia: Hussein Bashe afiwa na mama yake


Mama mzazi wa Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini mkoani Tabora (CCM), Hussein Bashe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhumbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.

Kupitia akaunti yake ya Twitter, Bashe amesema;

“Ndugu zangu nimeondokewa na mama yangu mpendwa. Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un.”



Endelea kufuatilia ukurasa huu kwa taarifa zaidi.
Tanzia: Hussein Bashe afiwa na mama yake Tanzia: Hussein Bashe afiwa na mama yake Reviewed by Zero Degree on 6/01/2018 11:50:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.