Chelsea yaanza kumnyemelea Alisson Becker
![]() |
Alisson Becker |
Allisson mwenye uraia wa Brazil, alikuwa na msimu mzuri uliopita na kuingia katika rada za klabu nyingi ikiwemo Liverpool baada ya Karius kuonesha kiwango kibovu katika fainali ya UEFA Champions League.
Chelsea wanahitaji saini ya kipa huyo kwa udi na uvumba kufuatia kipa wao namba moja Thibaut Coutors kuwa katika mawindo ya Real Madrid kwa muda mrefu hivi sasa.
Allison anatajwa kuwa miongoni mwa walinda milango bora kwa sasa akichuana na David De Gea wa Manchester United, Ter stargen wa Barcelona na wengine wenye ubora sawa na hao.
Chelsea wanahitaji saini ya kipa huyo kwa udi na uvumba kufuatia kipa wao namba moja Thibaut Coutors kuwa katika mawindo ya Real Madrid kwa muda mrefu hivi sasa.
Allison anatajwa kuwa miongoni mwa walinda milango bora kwa sasa akichuana na David De Gea wa Manchester United, Ter stargen wa Barcelona na wengine wenye ubora sawa na hao.
Chelsea yaanza kumnyemelea Alisson Becker
Reviewed by Zero Degree
on
6/01/2018 12:05:00 PM
Rating: