Loading...

Chadema wanunua magari mapya (Picha)


Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, leo Jumatano, Oktober 17, 2018 kimeyaonyesha hadharani magari yake aina ya Ford Ranger ambayo yatatumika katika shughuli za kukiimarisha chama hicho na kukirejesha kwa wananchi.


Msemaji wa chama hicho, Tumaini Makene amesema magari hayo yatatumika katika chaguzi na utekelezaji Programu ya Chadema Msingi.



Chadema wanunua magari mapya (Picha) Chadema wanunua magari mapya (Picha) Reviewed by Zero Degree on 10/17/2018 05:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.