Loading...

Mahakama yatupa madai ya kubaka dhidi ya Rambo


MWIGIZAJI maarufu wa Marekani, Sylvester Stallone, hatafunguliwa mashitaka ya kubaka miaka karibu 30 iliyopita. Habari hiyo imejitokeza baada ya mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Sly, kufungua mashitaka akisema alibakwa mwaka 1987 na 1990.

Hata hivyo, Stallone ameyakana madai hayo. Ofisi ya mwendesha mashitaka ya L.A. County ilisema haitamfunguliwa mashitaka mwanamke huyo ambaye mashahidi aliowataja walishindwa kuthibitisha madai hayo.

Licha ya mashitaka hayo kupitwa na wakati wa kupelekwa mahakamani, polisi wa Santa Monica, bado waliendelea na uchunguzi wa jambo hilo. Kwa upande wake, Stallone amemshambulia aliyemshitaki kwa kumfungulia mashitaka kwamba alisema uwongo katika hati ya mashitaka hayo. Hata hivyo, kesi hiyo imefungwa.
Mahakama yatupa madai ya kubaka dhidi ya Rambo Mahakama yatupa madai ya kubaka dhidi ya Rambo Reviewed by Zero Degree on 10/31/2018 09:20:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.