Mwanariadha kutoka Jamaica, Usain Bolt aweka historia mpya na ya kipekee katika Olimpiki 2016.
Wakati michezo ya Olimipiki 2016 inayofanyika Rio, Brazil ikiendelea kushika kas na rekodi zikiendelea kuwekwa kwa wanamichezo zaidi ya 11,000 ambao wameshiriki mashindano ya mwaka huu, mwanariadha kutoka Jamaica, Usain Bolt ameweka historia ya kipekee katika michezo hiyo.
Katika mbio za mita 100, Bolt ameibuka mshindi kwa kutumia sekunde 9.81 na kushinda medali ya dhahabu, nafasi ya pili ikishikwa na Justin Gatlin kutoka Marekani akitumia sekunde 9.89 na kushinda medali ya fedha na nafasi ya tatu Mcanada, Andre de Grasse akitumia sekunde 9.91 na kushinda medali ya shaba.
Katika mbio za mita 100, Bolt ameibuka mshindi kwa kutumia sekunde 9.81 na kushinda medali ya dhahabu, nafasi ya pili ikishikwa na Justin Gatlin kutoka Marekani akitumia sekunde 9.89 na kushinda medali ya fedha na nafasi ya tatu Mcanada, Andre de Grasse akitumia sekunde 9.91 na kushinda medali ya shaba.
Mwanariadha kutoka Jamaica, Usain Bolt aweka historia mpya na ya kipekee katika Olimpiki 2016.
Reviewed by Zero Degree
on
8/15/2016 10:15:00 AM
Rating: