Loading...

VIDEO: Usipitwe na video kali ya wimbo mpya "Roho" wa Fid Q aliomshilikisha Christian Bella.

Good music imesogezwa kwako tena na time hii ni mchanganyiko wa radha mbili kutokea soko la muziki Tanzania ambapo mkali wa miondoko ya Hip Hop Farid Kubanda maarufu kama Fid Q anakualika kitazama video yake ya ‘Roho’ ambayo amemshirikisha mkali Christian Bella.

Video ndio hiyo hapo chini ukimaliza kuutazama unaweza kudondosha comment yako hapo chini kisha baadae Fid Q na Christian Bella watapita kuzisoma.





Credits: MillardAyo
ZeroDegree.
VIDEO: Usipitwe na video kali ya wimbo mpya "Roho" wa Fid Q aliomshilikisha Christian Bella. VIDEO: Usipitwe na video kali ya wimbo mpya  "Roho" wa Fid Q aliomshilikisha Christian Bella. Reviewed by Zero Degree on 8/15/2016 10:08:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.