Mkorea wa Spurs aipagawisha Bayern Munich
![]() |
Hueng-min Son |
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na gazeti la The Sun, mabingwa hao wa Bundesliga wameanza mkakati huo baada ya kuenea kwa taarifa zilizodai nyota huyo anaweza asiende kulitumikia jeshi la taifa lake kwa mujibu wa sheria.
Mkorea wa Spurs aipagawisha Bayern Munich
Reviewed by Zero Degree
on
10/19/2018 06:05:00 PM
Rating:
