Loading...

Solari kuinoa Real Madrid hadi mwisho wa msimu huu


Klabu ya Real Madrid, imemtangaza Santiago Solari kuwa kocha wa Real Madrid mpaka mwisho wa msimu huu.

Solari aliteuliwa kuwa kocha wa muda kuchukua nafasi ya Julen Lopetegui
ambaye alitimuliwa.

Santiago Solari ameingoza Real Madrid katika mechi 4 na kushinda zote kwa kufunga magoli 15 na kufungwa magoli 2.

Kuna uwezekano Scolari akawa Kocha Mkuu hapo baadaye endapo atazidi kufanya vizuri ndani ya miamba hao wa Real Madrid.
Solari kuinoa Real Madrid hadi mwisho wa msimu huu Solari kuinoa Real Madrid hadi mwisho wa msimu huu Reviewed by Zero Degree on 11/12/2018 02:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.