Polepole aanika ratiba ya funga mwaka, ...ampa heko JPM
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twittwer Polepole ameandika kuwa atakuwa katika mkoa wa Ruvuma akiitekeleza Ilani ya Chama chake chini ya Rais, Dkt. John Magufuli.
"Mwisho wa Mwaka huu niko Mpitimbi, Likuyufusi, Lutapwasi, Mhukuru, Madaba, Bomba Mbili, Mkenda na Lipaya nitakuwa nakagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM. Heko John Pombe Joseph Magufuli na Wana CCM kwa kazi nzuri, hongereni", ameandika Polepole.
Akiwa jimboni humo Polepole kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi amempongeza Mbunge wa Jimbo la Peramiho, lililopo Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani wa Ruvuma, Jenista Mhagama kwa kuekeleza kwa asilimia kubwa Ilani ya chama hicho.
"Mwisho wa Mwaka huu niko Mpitimbi, Likuyufusi, Lutapwasi, Mhukuru, Madaba, Bomba Mbili, Mkenda na Lipaya nitakuwa nakagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM. Heko John Pombe Joseph Magufuli na Wana CCM kwa kazi nzuri, hongereni", ameandika Polepole.
Akiwa jimboni humo Polepole kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi amempongeza Mbunge wa Jimbo la Peramiho, lililopo Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani wa Ruvuma, Jenista Mhagama kwa kuekeleza kwa asilimia kubwa Ilani ya chama hicho.
Polepole aanika ratiba ya funga mwaka, ...ampa heko JPM
Reviewed by Zero Degree
on
12/24/2018 05:50:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
12/24/2018 05:50:00 PM
Rating: