Kegere anyakua tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Agosti
Naye Kocha wa Ruvu Shooting, Salum Mayanga amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi huo akiwashinda Mecky Mexime wa Kagera Sugar na Hitimana Thiery wa Namungo
Kegere anyakua tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Agosti
Reviewed by Zero Degree
on
9/11/2019 08:05:00 AM
Rating: