Takukuru yafanikiwa kurejesha zaidi ya Mil. 11 alizolipwa marehemu
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kurejesha Serikalini zaidi ya shilingi milioni 11 ambazo zililipwa zililipwa kwenye akaunti ya benki ya mtumishi marehemu kama mshahara kuanzia Oktoba 13, 2013 hadi Machi 2016 kinyume cha utaratibu.
Haya yameelezwa leo, Desemba Mosi, jijini hapa na Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Dodoma Sostenes Kibwengo alipokuwa Akizungumza na Waandishi wa Habari.
Kibwengo amesema ufuatiliaji wa Takukuru Wilaya ya Kondoa umewezesha fedha hizo kupatikana.
Kibwengo amesema ufuatiliaji wa Takukuru Wilaya ya Kondoa umewezesha fedha hizo kupatikana.
Takukuru yafanikiwa kurejesha zaidi ya Mil. 11 alizolipwa marehemu
Reviewed by Zero Degree
on
12/01/2020 04:15:00 PM
Rating: