Loading...

Dkt Tulia: ATCL iondoeni dhana mbaya kwa watu


Naibu Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson, amelitaka Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuhakikisha linajiendesha kwa tija na kwa faida ili kuondoa dhana mbaya iliyojengeka kwa baadhi ya watu kuona linajiendesha kwa hasara.

Dk. Tulia ameyasema hayo mara baada ya kukutana na kamati mbalimbali za Bunge na shirikia hilo ambapo amesema changamoto zinazosemwa kama zikifanyiwa kazi ni wazi zitaleta mabadiliko chanya kwa wananchi.
Dkt Tulia: ATCL iondoeni dhana mbaya kwa watu Dkt Tulia: ATCL iondoeni dhana mbaya kwa watu Reviewed by Zero Degree on 11/03/2021 11:50:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.