Loading...

Dkt. Biteko azindua vituo vya kurushia matangazo ya TBC na Bongo FM


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 15 Aprili, 2024 amezindua vituo vya kurushia matangazo vya TBC Taifa na Bongo FM.


Uzinduzi huo umefanyika Loliondo, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa niaba ya vituo vingine vya Uvinza, Kyela, Makete na Mbinga.

Viongozi wa Serikali na wadau mbalimbali wa Sekta ya Habari na Mawasiliano wamehudhuria.

Tazama picha hapo chini:







Dkt. Biteko azindua vituo vya kurushia matangazo ya TBC na Bongo FM Dkt. Biteko azindua vituo vya kurushia matangazo ya TBC na Bongo FM Reviewed by Zero Degree on 4/15/2024 03:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.