Chaumma waahidi kuongeza kima cha chini cha mshahara
Mgombea urais kupitia Chama Cha CHAUMMA Salumu Mwalimu amenadi sera zake katika kampeni ya kwanza katika chama hicho amegusia katika upande wa kima cha chini cha mshahara wa serikali.
"Ndani ya miaka mitano ya uongozi wetu tutahakikisha kima cha chini cha mshahara wa serikali itakayoongozwa na CHAUMMA kisipungue shilingi 800,000 baada ya kuondoa makato yote ya kodi." - Salumu Mwalimu
Chaumma waahidi kuongeza kima cha chini cha mshahara
Reviewed by Zero Degree
on
8/31/2025 05:28:00 PM
Rating:
