Loading...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya B.L. Agro wakutana


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya B.L. Agro Industries ya nchini India Bw. Ashish Khandelwal Kuhusu Kampuni hiyo, ambayo ina nia ya kuwekeza Kiwanda cha kisasa cha Kusindika Mafuta ya Kula nchini (Edible Oil).

Mazungumzo hayo yamefanyika leo Agosti 31, 2025 katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo zilizopo Jijini Dar es salaam.









Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya B.L. Agro wakutana Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya B.L. Agro wakutana Reviewed by Zero Degree on 8/31/2025 05:33:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.