Loading...

Wafanyabiashara mtandaoni watakiwa kuanza kulipa kodi

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma 

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amezindua kampeni ya Elimu ya Kodi kwa Biashara za Mtandaoni na kuwataka watuvwote wanaojihusisha na biashara mtandaoni kujisajili na kuanza kulipa Kodi.

Uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 9 Agost, 2025 Serena Hotel Jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara mtandaoni watakiwa kuanza kulipa kodi Wafanyabiashara mtandaoni watakiwa kuanza kulipa kodi Reviewed by Zero Degree on 8/09/2025 11:57:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.