skip to main |
skip to sidebar
Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kusini, ACT Wazalendo Ndugu Joseph Matata akiwa na viongozi waandamizi wa chama mkoani Kigoma wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika jimbo hilo, uliofanyika katika kijiji cha Karago, Septemba 09, 2025.
Uzinduzi huo uliambatana na mapokezi ya asili yenye utamaduni wa Wabembe, kuonesha mshikamano kati ya siasa na mila za jamii. Hii ni safari ya kuwatumikia wananchi kwa heshima na maadili ya Kitanzania.

Ndg. Joseph Matata katika uzinduzi wa kampeni za ACT - Wazalendo Kigoma Kusini
Reviewed by
Zero Degree
on
9/09/2025 05:05:00 PM
Rating:
5