TAARIFA: Rais Magufuli Aafanya Uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali, Mrema ateuliwa kuwa mwenyekiti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyopewa amefanya uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali, na pia amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania.
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
Aidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi wengine 34 kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
Maafisa hawa wa Jeshi la Polisi Tanzania wamepandishwa vyeo kuanzia tarehe 15 Julai, 2016.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
16 Julai, 2016.
Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;
- Augustino Lyatonga Mrema.
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole kwa kipindi cha miaka mitatu, kuanzia leo tarehe 16 Julai, 2016.
Augustino Lyatonga Mrema anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Mhe. Eusebia Nicholaus Munuo ambaye muda wake umemalizika. - William R. Mahalu
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016. - Mohamed Janabi
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016. - Angelo Mtitu Mapunda
Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016. - Sengiro Mulebya
Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016. - Oliva Joseph Mhaiki
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016. - Winifrida Gaspar Rutaindurwa
Ameteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016. - Charles Rukiko Majinge
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016. - Julius David Mwaiselage
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Kupandishwa Vyeo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa 25 wa Jeshi la Polisi kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP).Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
- Essaka Ndege Mugasa
- Adamson Afwilile Mponi
- Charles Ndalahwa Julius Kenyela
- Richard Malika Revocatus
- Geofrey Yesaya Kamwela
- Lucas John Mkondya
- John Mondoka Gudaba
- Matanga Renatus Mbushi
- Frasser Rweyemamu Kashai
- Ferdinand Elias Mtui
- Germanus Yotham Muhume
- Fulgence Clemence Ngonyani
- Modestus Gasper Lyimo
- Mboje John Shadrack Kanga
- Gabriel G.A. Njau
- Ahmed Zahor Msangi
- Anthony Jonas Rutashubulugukwa
- Dhahir Athuman Kidavashari
- Ndalo Nicholus Shihango
- Shaaban Mrai Hiki
- Simon Thomas Chillery
- Leonard Lwabuzara Paul
- Ahmada Abdalla Khamis
- Aziz Juma Mohamed
- Juma Yussuf Ally
Aidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi wengine 34 kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
- Fortunatus Media Musilimu
- Goyayi Mabula Goyayi
- Gabriel Joseph Mukungu
- Ally Omary Ally
- Edward Selestine Bukombe
- Sifael Anase Mkonyi
- Naftari J. Mantamba
- Onesmo Manase Lyanga
- Paul Tresphory Kasabago
- Dadid Mshahara Hiza
- Robert Mayala
- Lazaro Benedict Mambosasa
- Camilius M. Wambura
- Mihayo Kagoro Msikhela
- Ramadhani Athumani Mungi
- Henry Mwaibambe Sikoki
- Renata Michael Mzinga
- Suzan Salome Kaganda
- Neema M. Mwanga
- Mponjoli Lotson
- Benedict Michael Wakulyamba
- Wilbroad William Mtafungwa
- Gemini Sebastian Mushi
- Peter Charles Kakamba
- Ramadhan Ng’anzi Hassan
- Christopher Cyprian Fuime
- Charles Philip Ulaya
- Gilles Bilabaye Muroto
- Mwamini Marco Lwantale
- Allute Yusufu Makita
- Kheriyangu Mgeni Khamis
- Nassor Ali Mohammed
- Salehe Mohamed Salehe
- Mohamed Sheikhan Mohamed
Maafisa hawa wa Jeshi la Polisi Tanzania wamepandishwa vyeo kuanzia tarehe 15 Julai, 2016.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
16 Julai, 2016.
ZeroDegree.
TAARIFA: Rais Magufuli Aafanya Uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali, Mrema ateuliwa kuwa mwenyekiti.
Reviewed by Zero Degree
on
7/17/2016 11:27:00 AM
Rating: