Loading...

Schweinsteiger kutimkia ligi kuu ya Marekani.

KIUNGO wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger, 32, anafikiria kuitosa klabu hiyo na kutimkia nchini Marekani ili kwenda kumalizia soka lake.


Mtandao wa Squaka umeripoti kuwa, Schweinsteiger anafikiria kutimkia katika Ligi Kuu ya Marekani, MLS, katika kipindi cha mwezi Januari, baada ya kukosa uhakika wa namba ya kudumu ndani ya Old Trafford.

ZeroDegree.
Schweinsteiger kutimkia ligi kuu ya Marekani. Schweinsteiger kutimkia ligi kuu ya Marekani. Reviewed by Zero Degree on 11/14/2016 10:03:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.