Loading...

West Ham kumnasa Fabregas??

WAGONGA nyundo wa London, West Ham, wanajiandaa kuinasa saini ya kiungo wa klabu ya Chelsea, Cesc Fabregas, ambaye hana namba ya kudumu kwenye kikosi hicho cha kocha Antonio Conte.

Hata hivyo, kuna klabu mbalimbali zinazohitaji saini ya Mhispania huyo, lakini West Ham wanaonekana kumtamani mno, hasa baada ya kiungo mshambuliaji wao, Dimitri Payet, kufunguka kuwa yu tayari kutimka Januari, mwakani.

ZeroDegree.
West Ham kumnasa Fabregas?? West Ham kumnasa Fabregas?? Reviewed by Zero Degree on 11/09/2016 04:58:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.