Balozi wa Urusi auwawa kwa kupigwa Risasi nchini uturuki.
Balozi Andrey Karlov Alipigwa Risasi Na Askari Polisi Mjini Ankara,Uturuki Aliyekuwa Akipaza Sauti Akitaja Kulipiza Kisasi Cha Yanayojiri Aleppo. |
Tukio la kuuwawa kwa Karlov ambaye alikuwa balozi wa Urusi nchini Uturuki, wengi wamelihusisha na maswala ya kigaidi kwani haikujulikana dhahiri kuwa nia yake ilikuwa ni nini lakini alichokifanya kimefanana na namna magaidi hufanya matukio yao.
Hata hivyo, Msemaji wa wizara ya mambo ya kigeni mjini Moscow amesema Uturuki wamehakikishiwa kwamba kutakuwa na uchunguzi wa kina kuhusiana na tukio hilo na wote watakaokuwa wamehusika wataadhibiwa.
Meya wa Ankara amesema mauwaji hayo yamelenga huharibu mahusiano ya nchi hiyo na Urusi. Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani John Kerry amesema Marekani iko tayari kusaidia katika uchunguzi wa tukio hilo.

ZeroDegree.
Balozi wa Urusi auwawa kwa kupigwa Risasi nchini uturuki.
Reviewed by Zero Degree
on
12/20/2016 10:43:00 AM
Rating: