Loading...

Hatimaye Suarez akubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Barcelona.

Mchezaji wa klabu ya Barcelona Luis Suarez hatimaye amekubali kusaini mkataba mpya na vigogo hao wa soka nchini Uhispania utakaoafikia thamani ya Euro milioni 167 ikijumuisha kipengele cha kumuuza kwa timu itakayomuhitaji.

Taarifa kutoka Barcelona zinasema kuwa mkataba huo utakaomfunga Suarez mwenye miaka 29 mpaka mwaka 2021 utasainiwa siku ya leo Ijumaa.



Alifunga magoli 40 kwenye ligi kuu soka nchini Uhispania msimu uliopita.



Mshambuliaji Lionel Messi raia wa Argentina mwenye miaka 29 ana mkataba na klabu ya Barcelona mpaka mwezi June 2018 lakini mazungumzo ya mkataba mpya tiyari yameanza.

ZeroDegree.
Hatimaye Suarez akubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Barcelona. Hatimaye Suarez akubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Barcelona. Reviewed by Zero Degree on 12/16/2016 11:10:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.