Loading...

Hii hapa droo kamili ya mechi za hatua ya 16 bora ligi ya mabingwa Ulaya [UEFA].

UEFA wametoa ratiba ya mechi za hatua ya 16 bora ya michuano ya Champions League. Huku klabu ya Arsenal ambao kwasasa wanafanya vizui wamepangwa kucheza na Bayern Munich, Leicester City watakutana na Sevilla nao Manchester City wakabiliane na Monaco.

Droo kamili:
  • Manchester City (Uingereza) v Monaco (Ufaransa)
  • Real Madrid (Uhispania) v Napoli (Italia)
  • Benfica (Ureno) v Dortmund (GER)
  • Bayern (Ujerumani) v Arsenal (Uingereza)
  • Porto (Ureno) v Juventus (ITA)
  • Leverkusen (Ujerumani) v Atlético (Uhispania)
  • Paris (Ufaransa) v Barcelona (Uhispania)
  • Sevilla (Uhispania) v Leicester (Uingereza)
ZeroDegree.
Hii hapa droo kamili ya mechi za hatua ya 16 bora ligi ya mabingwa Ulaya [UEFA]. Hii hapa droo kamili ya mechi za hatua ya 16 bora ligi ya mabingwa Ulaya [UEFA]. Reviewed by Zero Degree on 12/13/2016 01:39:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.