Loading...

Hii hapa draw kamili ya kombe la FA

Klabu ya Manchester United ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la FA, watapambana na mabingwa wa mwaka 2013 ambao ni Wigan Athletic katika raundi ya nne ya kombe hilo.

Huku mabingwa wa Uingereza klabu ya Leicester City watakumbana na Derby County, huku Chelsea wakicheza na Brentford.
Raundi ya nne inashirikisha timu 32, na mechi hizi zitachezwa Januari 27-30.

Droo kamili ya FA ni hii hapa chini

  • Tottenham Hotspur v Wycombe Wanderers
  • Derby County v Leicester City
  • Oxford United v Newcastle United au Birmingham City
  • AFC Wimbledon au Sutton United v Cambridge United au Leeds United
  • Plymouth Argyle or Liverpool v Wolverhampton Wanderers
  • Southampton au Norwich City v Arsenal
  • Lincoln au Ipswich v Brighton
  • Chelsea v Brentford
  • Manchester United v Wigan Athletic
  • Millwall v Watford
  • Rochdale v Huddersfield Town
  • Burnley or Sunderland v Fleetwood Town au Bristol City
  • Blackburn Rovers v Barnsley au Blackpool
  • Fulham v Hull City
  • Middlesbrough v Accrington Stanley
  • Crystal Palace au Bolton v Manchester City
ZeroDegree.
Hii hapa draw kamili ya kombe la FA Hii hapa draw kamili ya kombe la FA Reviewed by Zero Degree on 1/10/2017 12:33:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.