Loading...

Orodha kamili ya washindi wa tuzo za Oscar

Usiku wa Jumapili hii katika ukumbi wa Dolby Theatre, Hollywood nchini Marekani zilifanyika sherehe za utoaji tuzo za 89 za Oscar.

Kubwa zaidi lililoteka vichwa vya habari katika tuzo baada ya filamu ya La La Land kutangazwa kuwa filamu bora na baada ya waigizaji wa filamu hiyo kuingia jukwaani tayari kutoa hotubazao za ushindi huo mmoja wa watayarishaji wa tuzo hizo aliingia na kutangaza kuwa tuzo hiyo imetolewa kimakosa na filamu iliyoshinda ni Moonlight.

Hii ni orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo:

Best Picture
Moonlight

Directing
Damien Chazelle, La La Land

Lead Actress
Emma Stone, La La Land

Lead Actor
Casey Affleck, Manchester by the Sea
Supporting ActressViola Davis, Fences

Supporting Actor
Mahershala Ali, Moonlight

Animated Feature
Zootopia

Animated Short Film
Piper

Cinematography
La La Land

Documentary Feature
O.J.: Made in America

Documentary Short

The White Helmets

Foreign Language Film
The Salesman

Live Action Short Film

Sing

Sound Editing
Arrival

Original Score
La La Land

Original Screenplay
Manchester by the Sea

Adapted Screenplay

Moonlight

Best Original Song
City of Stars – La La Land

Best Costume Design

Fantastic Beasts and Where to Find Them

Best Makeup and Hair Styling
Suicide Squad

Best Production Design

La La Land

Best Film Editing
Hacksaw Ridge

Best Visual Effects
The Jungle Book

Best Sound Mixing
Hacksaw Ridge
Orodha kamili ya washindi wa tuzo za Oscar Orodha kamili ya washindi wa tuzo za Oscar Reviewed by Zero Degree on 2/27/2017 12:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.