Loading...

VIDEO: Suarez atolewa kwa kadi nyekundu, ..Barcelona ikitinga fainali ya Kombe la mfalme

Barcelona imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya kombe la mfalme au Dopa del Rey nchini Hispania kufuatia sare ya kufungana goli 1-1 na Atletico Madridi.

Goli la Barcelona limefungwa na Luiz Suarez huku lile la Atletico Madrid likifungwa na Kevin Gameiro.

Kwa matokeo hayo Barcelona wanasonga mbele kwa faida ya magoli matatu dhidi ya mawili ya Atletico Madrid na hivyo wakitaraji kukutana kati ya Alaves or Celta Vigo katika mchezo wa Fainali.

Katika mchezo huo mchezaji Luiz suarez alitolewa kwa kadi nyekudu baada ya kuwa na kadi mbili za njano .


VIDEO: Suarez atolewa kwa kadi nyekundu, ..Barcelona ikitinga fainali ya Kombe la mfalme VIDEO: Suarez atolewa kwa kadi nyekundu, ..Barcelona ikitinga fainali ya Kombe la mfalme Reviewed by Zero Degree on 2/08/2017 12:59:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.