Loading...

Taarifa kuhusu Mbunge Peter Lijualikali [Chadema] kuachiwa huru

January 11 2017 Mbunge wa Kilombero kwa ticket ya CHADEMA Peter Lijualikali alihukumiwa jela miezi 6 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero.

Mbunge Lijualikali alishitakiwa kwa kuwashambulia polisi kwenye siku hiyo ya uchaguzi.
Leo March 30 2017 Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imetengua hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya wilaya ya Kilombero, sasa Mbunge huyo amechiwa huru.

Source:MillardAyo
Taarifa kuhusu Mbunge Peter Lijualikali [Chadema] kuachiwa huru Taarifa kuhusu Mbunge Peter Lijualikali [Chadema] kuachiwa huru Reviewed by Zero Degree on 3/30/2017 12:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.