Loading...

Takwim: Hivi ndivyo Ng'olo Kante [Chelsea] alivyompoteza Pogba [Man U] katikati ya dimba jana

Ng’olo Kante wa Chelsea si kiungo ghali kama Paul Pogba wa Chelsea kwa kuwa alinunuliwa kwa pauni milioni 30 akitokea Leicester City.

Lakini Pogba aliyenunuliwa kwa pauni milioni 89, usiku wa kuamkia leo alikutana na kazi ngumu dhidi ya Kante ambaye ni Mfaransa mwenzake.



Kante ndiye alikuwa bora zaidi katikati ya uwanja akimfunika Pogba mbali kabisa katika pasi zilizofika, pasi nyingi na kadhalika na raha zaidi ndiye aliyepiga bao pekee la ushindi Chelsea ikiitwanga Man United kwa bao 1-0 na kutinga nusu fainali ya Kombe la FA.
Takwim: Hivi ndivyo Ng'olo Kante [Chelsea] alivyompoteza Pogba [Man U] katikati ya dimba jana Takwim: Hivi ndivyo Ng'olo Kante [Chelsea] alivyompoteza Pogba [Man U] katikati ya dimba jana Reviewed by Zero Degree on 3/14/2017 01:20:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.