VIDEO: Manchester United ilivyolazimishwa sare ya 1-1 na FC Rostov ya Urusi kwenye Ligi ya EUROPA
Michuano ya Uefa Uropa Ligi imepigwa jana usiku kwa michezo mbalimbali,Manchester United imeambulia Sare na Fc Rostov bao 1-1 ,Apolia Nicosia wakiwa nyumbani wamechapwa na Anderletch bao 1-0.
Fc Copen hagen imetakata kwa bao 2-1,Celta vigo imeichapa Fc Krasnodar 2-1,shakle imetoshana nguvu na Borussia Monchenglabach 1-1, KAA Gent imechapwa na KRC Genk 5-2, Lyon imeichapa As Roma 4-2 na Olympiakos imetoshana nguvu na Besktas kwa bao 1-1.
VIDEO: Manchester United ilivyolazimishwa sare ya 1-1 na FC Rostov ya Urusi kwenye Ligi ya EUROPA
Reviewed by Zero Degree
on
3/10/2017 01:59:00 PM
Rating:
