Loading...

BOT imeifungia Benki ya MCB

BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imeifungia Benki ya Wananchi Mbinga (MCB), kufanya kazi kutokana na kukosa mtaji wa kutosha.

Mtandao wa mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali (MBINGONET) wilayani humo umedai, kufilisika kwa benki hiyo kumesababishwa na viongozi. Mtandao huo umesema kwamba, viongozi walikosa umakini katika kazi, usimamizi na utekelezaji wa majukumu na ndio sababu kubwa ya kufungwa kwa Benki hiyo.
BOT imeifungia Benki ya MCB BOT imeifungia Benki ya MCB Reviewed by Zero Degree on 5/31/2017 11:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.