Loading...

Rais Magufuli amtumbua Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Muhongo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo kuanzia leo tarehe 24 Mei, 2017.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo
Rais Magufuli amtumbua Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Muhongo Rais Magufuli amtumbua Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Muhongo Reviewed by Zero Degree on 5/24/2017 06:23:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.