Loading...

Majibu ya Griezman kuhusiana na uwezekano wa kuhamia Manchester United

Nyota wa klabu ya Atletico Madrid Antoine Griezman ambae amekua akihusishwa na kuhamia katika timu ya Manchester United amesema inawezekana uhamisho huo ukafanyika katika dirisha kubwa la usajili.
Griezman akihojiwa katika kipindi cha Television huko nchini Ufaransa amesema uhamisho huo unawezeka kwa asilimia 6 kati ya 10.


"Nafikiri nitaamua kuhusu hatma yangu wiki mbili zijazo," alisema nyota huyo wa timu ya klabu ya Atletico Madrid.

Mchezaji huyu ameichezea timu ya taifa ya Ufaransa michezo 41 tangu alipochaguliwa kwa mara ya kwanza mwak 2017 na amefunga jumla ya mabao 26 mismu huu akiwa na timu yake ya Atletico iliyomaliza ligi katika nafasi ya tatu.
Majibu ya Griezman kuhusiana na uwezekano wa kuhamia Manchester United Majibu ya Griezman kuhusiana na uwezekano wa kuhamia Manchester United Reviewed by Zero Degree on 5/23/2017 11:25:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.