Loading...

VIDEO: Goli bora la mwezi April kwenye Ligi kuu ya Uingereza

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Pedro Rodriguez amekabidhiwa tuzo ya Mfungaji wa bao bora la mwezi Aprili ligi kuu nchini Uingereza.


Tuzo hiyo amekabidhiwa hapo jana siku ya Alhamisi, kutokana na bao safi alilofunga katika mchezo wake dhidi ya klabu ya Everton.

VIDEO: Goli bora la mwezi April kwenye Ligi kuu ya Uingereza VIDEO: Goli bora la mwezi April kwenye Ligi kuu ya Uingereza Reviewed by Zero Degree on 5/12/2017 03:10:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.