Loading...

Audio: Nay wa Mitego ameshusha kitu kingine kinachokwenda kwa jina la - 'MOTO'


Mkali wa Hip-Hop nchini, Nay wa Mitego ameshusha ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la 'MOTO'. Ngoma imeaandaliwa na Prod. Awesome, sikiliza ngoma hiyo kwa kubofya hapo chini na kisha tupia comment yako baada ya kuisikiliza itamsaidia Nay kujua mashabiki wamepokeaje ngoma hiyo!!!!!

Audio: Nay wa Mitego ameshusha kitu kingine kinachokwenda kwa jina la - 'MOTO' Audio: Nay wa Mitego ameshusha kitu kingine kinachokwenda kwa jina la - 'MOTO' Reviewed by Zero Degree on 6/22/2017 09:29:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.