Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 09
Ilipoishia..........Nilitamani niwe wa kwanza kukitoboa kizinda chake ambapo atakuwa ni muhusika. Nilipokuwa nikiendelea kujisogeza kwa Shamia, aliniachia jicho la mkonyezo likimaanisha kuwa “Sogea tu hata mimi nilikuwa naisubiri nafasi kama hiyo”. Moyoni nilitamani sana nipate bahati ya kukizindua kibustani chake kwa kuwa wa kwanza kutia jembe langu na kuweka historia ya mahusiano mabichi ya tendo la ndoa kwani waswahili husema, “Utamu wa pasheni jichumie, ukatiwe kisha tia kidole cha kati ndipo ule”. Mate yalianza kunijaa mdomoni huku athumani kichwa wazi wangu akiendelea kuutafuta upenyo wa kujitoa kwenye joto lisilo na manufaa aingie kwenye pango lenye manufaa.
Nilizinduliwa na sauti ya mahaba iliyonitoa kwenye hisisa kali za kuivunja amri halali ya mwenyezi mungu isemayo ‘USIZINI’ au ‘USIIKARIBIE ZINAA’. Sauti iliyukuwa ikisema “Devi mpenzi, ninajua ni mapema mno kukutamkia jina mpenzi pasipo ridhaa yako. Kama ulivyonijuza hapo awali kuwa huwa unapenda kula chips hasa uwapo na warembo kama mimi huo ni ukweli kuwa nimevamia kukuita mpenzi kabla ya maombi yangu kukubaliwa. Nafahamu fika kuwa una wengine uwapendao zaidi yangu ila ninakuomba uupokee moyo wangu uliojeruhika tangu nilipoupata wasifu wako kutoka kwa dada mmoja aitwaye Mwadawa tunayeishi chumba kimoja shuleni kwetu. Ninajua uliyasikia maneno yote niliyochambwa na Tipha. Ule haukuwa mchambo, bali ukweli halisi juu ya historia ya maisha yangu kwenye mahusiano. Tangu utoto wangu nimekuwa mkulima mwaminifu niliyebahatika kuitunza bustani yangu vizuri bila kuruhusu wachafuzi waliokuwa wakipenda michezo ya ‘kibaba na mama’. Zaidi ya hayo, nimekuwa mpogoleaji mzuri wa nyasi pembezoni mwa kingo zote ili bonde la ufa liweze kudumisha chemchem ya asili isigeuke kisima cha kijiji. Licha ya hivyo, ingawa bustani yangu imekuwa na chemchem ya asili, imekosa fundi bomba sanifu mwenye uwezo wa kukitafuta chanzo halisi cha chemchem yangu kwa kubabadua mwamba laini ulioko katikati ya bonde langu. Ninakuomba ulipokee ombi langu ili nikukabidhi bustani hii yenye sifa zote hapa duniani. Nakuhakikishia kuwa, katika suala la mahusiano mimi bado Mwanagenzi na wewe ndiyo utakuwa mwalimu wangu wa kwanza na muhudumu wa kudumu wa chemchem yangu na mlaji halali wa vyote vilivyomo ndani ya bustani kwani waswahili husema, ‘Bustani unayoihudumia, ukila vyake hauwezi kuitwa mwizi’.” Shamia alihitimisha risala yake ndefu na yenye kushawishi moja kwa moja kujiingiza kwenye mahusiano. Nilimpokea kwa busu mwanana ambalo nililipiga kwa kubahatisha kwani tangu siku hiyo mpaka leo sijaweza kulipiga kwa mtindo kama huo. Wakati tukiendelea na yetu, disko nalo lilikuwa limepamba moto kwa wachezaji kucheza mithili ya watu waliopagawa.
Ilipotimia muda wa saa sita kamili usiku, Dj Shuku aliuzima muziki kisha akalirusha tangazo, “OiOiOiOi! Wana mpoo?” Ukumbi mzima ukalipuka, “tupooo” kisha akaendelea “sasa ni muda ambao tunakwenda kuufungua mziki wetu rasmi ili mjimwage sawasawa…. Kila mtu na wake….. asiye na wake abembelezwe na kiti….. Mwendo ni wa Blues tu, ….. Au sio wana?” Kelele zilirindima kwa wingi huku chupa tupu za maji na zile za soda za plastiki almaarufu kama take away zikielea hewani ukumbi mzima. Mara taa zilizokuwa ukumbini zilizimwa na kuwashwa nyingine zenye rangi tofauti tofauti zilizoufanya ukumbi wote uwe na mandhari ya kupendeza. Taa hizo zilikuwa na rangi kama vile kijani, nyekundu na blue bahari. Kwa weledi mkubwa wa Dj, alicheza nyimbo tatu za blues mfululizo, kama vile “That Night” wa Judy Boucher, “The End of the road” ya Boyz II Men na watatu ulikuwa mahusisi kwa wale waliojipatia wachumba wa mpito kwa kuwawekea kibao mahususi cha “I will always love You” ulioimbwa kwa mara ya kwanza na Dolly Parton na baadaye kukarabatiwa na mwanadada Whitney Houston….. Blues hizo zilichezwa kwa hisia kali zaidi huku kila mmoja akiwa amemkumbatia mwenzi wake kwa mtindo wa kugandiana mithili ya kupe kwenye mifugo isiyojua josho na wengine kuvikumbatia viti kwa kukosa partiners wa kucheza nao. Kipengele kilichowatoa machozi wasomi wengi ukumbini akiwemo Shamia ni eneo la mkarara katika wimbo wa “The End of the Road” uliocharazwa na Boyz II Men usemao,
Hayo ndiyo mapenzi bwana, yakikukumba bila kujiandaa yanaweza kukuangusha chali. Utajikuta mtu anapenda kwa siku moja au kwa dakika ya mpito anataka apatiwe hati miliki ili ammiliki ampendaye na wala asimwache aende zake hata kidogo. Kwa upande wangu na mimi nilikuwa nimejitahidi kucheza michomo hiyo nikiwa nimembana vilivyo SHAMIA huku mikono nikiiweka vema kwenye kiuno maridhawa kilichoshibishwa utunda (shanga za kiuononi) wa kutosha uliopangika kwa ufundi. Shamia alikilaza kifua chake sambamba na cha kwangu huku tukiwa zero distance mithili ya ‘Waandishi wa Blog ya Zero Degree na matukio’. Ukaribu huo ulikifinya kitumbua chake cha mchele kigusane moja kwa moja na chururu yangu iliyukuwa dede ikisubiria kukilowanisha. Nilipoona Shamia anazidi kulegea huku udenda ukimtoka, nilijua keshazidiwa na yuko tayari kwa lolote. Nilimnong’oneza tutoke ukumbini ili tukamalize kiu yetu, naye hakunikatalia. Tulipotoka nje ya ukumbi, tulipokelewa na harufu tofauti za matunda kama vile mananasi, mapasheni, maembe ndizi n.k. Ikiwa ni ishara tosha kuwa Salama Kondom ‘soksi’ za kiume ziko ulingoni kuonesha watu wanajali.
Endelea nayo: Nilijisogeza taratibu kwa Shamia huku mapigo ya moyo wangu yakipigia maeneo ya haja kubwa jambo ambalo nilihisi kama vile hajakubwa iko inajitoa mafichoni yenyewe. Niliupiga moyo konde huku nikifikiria maneno gani nitaanza nayo kama moja ya salamu kwa kimwana huyo anayesadikika kuwa alishakomaa na kuiva ila amekosa tu mlaji. Nilijitahidi kumfungulia mdomo uliokuwa zege kwa kukosa maneno mubashara ya kimapenzi ya kuanza nayo. Nikiwa kwenye tafakuri nzito iliyonirudisha kwenye hotuba ya mgeni rasmi, nilishtuliwa na sauti nyororo ya puani, “Jamani Devi, mbona mnatutenga namna hii ilihali sisi tu wageni wenu. Au mmechukizwa kwa ujio wetu? Basii jamaani, hata mkono ni salamu kama kinywa kimeshindwa kuyatoa ya moyoni”. Maswali elekezi niliyoulizwa na Shamia sikuweza kujibu hata moja zaidi ya kujibu kinyume chake. Badala ya kujibu nilichoulizwa, nilimjibu kama hivi, “Huwa unapenda kula chips mayai?” Mimi huwa naupenda sana msosi kama huo hasa nikiwa na warembo kama wewe. Shamia alicheka sana hadi nikajihisi baridi la aibu. Ingelikuwa ni mchana hakika ningelikimbia ila sauti ya muziki ilinipa faraja kuwa hakuna kiumbe aliyesikia kicheko hicho. Shamia aliushika mkono wangu kwa upole kisha akaanza kunifanyia mchezo wa kukitekenya kiganja changu cha mkono. Kitendo hicho kiliniamshia hisia kali mpaka mishipa ya korodani zangu kuhisi kama vile imepasuka.
**********
***********
“Although we go to the end of the road, Still I can’t let you go
So, Unnatural you belong to me, I belong to you. ”
*******
Usiikose SEHEMU YA 10>>> ya Riwaya hii ifikapo Jumatatu ya wiki ijayo, na utaipata hapa Zero Degree pekee.
Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 09
Reviewed by Zero Degree
on
6/30/2017 09:38:00 AM
Rating: