Loading...

JPM afungua Kiwanda cha Vifungashi mkoani Pwani


Rais John Magufuli amefungua kiwanda cha vifungashi cha Global Packaging (T) LTD mjini Kibaha asubuhi hii ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu ya mkoa wa Pwani.

JPM afungua Kiwanda cha Vifungashi mkoani Pwani JPM afungua Kiwanda cha Vifungashi mkoani Pwani Reviewed by Zero Degree on 6/21/2017 03:27:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.