Loading...

Orodha ya miji 10 yenye gharama zaidi za kuishi duniani, ..namba moja ni kutoka Afrika


Kwa wengi huenda ikawa tofauti kwenye mawazo kwa kuamini kuwa miji yenye gharama haiwezi kuwepo Afrika. Sasa utafiti uliofanywa na Shirika la Takwimu za Gharama za Kuishi Duniani (Mercer) umeutaja mji mkuu wa Angola, Luanda kushika nafasi ya kwanza duniani kati ya miji yenye gharama kubwa za kuishi.

Afrika pia ina miji miwili yenye gharama ndogo za kuishi ambayo ni Windhoek wa nchini Namibia pamoja na Blantyre nchini Malawi. Nimekuwekea hapa chini miji 10 yenye gharama kubwa za kuishi duniani.


Orodha ya miji 10 yenye gharama zaidi za kuishi duniani, ..namba moja ni kutoka Afrika Orodha ya miji 10 yenye gharama zaidi za kuishi duniani, ..namba moja ni kutoka Afrika Reviewed by Zero Degree on 6/21/2017 08:45:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.