Loading...

Hatimaye Beyonce aweka hadharani picha ya mapacha wake


MWANAMUZIKI maarufu duniani, Beyonce Knowles kwa mara ya kwanza ameawaanika hadharani watoto wake mapacha ikiwa ni takribani mwezi mmoja baada ya kujifungua.

Beyonce na mapacha wake
Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa watoto hao wana mwezi mmoja tangu wamezaliwa.
“Sir Carter and Rumi 1 month today. ,” ameandika Queen Beyonce kwenye mtandao huo.

Mapacha hao waliozaliwa ni mmoja wa kike na mwingine wa kiume na tayari walishapewa majina ya Sir na Rumi.

Alichokiandika Beyonce leo:


Ujumbe wa Beyonce Instagram
Hatimaye Beyonce aweka hadharani picha ya mapacha wake Hatimaye Beyonce aweka hadharani picha ya mapacha wake Reviewed by Zero Degree on 7/14/2017 01:11:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.