Loading...

TANZIA: Waziri Mwakyembe apata msiba mzito


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na mkewe, Linah George Mwakyembe Jumamosi hii.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa inasema marehemu alilazwa katika hospitali ya Aga Khan ambapo alikuwa akipatiwa matibabu mpaka kifo kilipomfika.

Soma taarifa hiyo hapa chini:


TANZIA: Waziri Mwakyembe apata msiba mzito TANZIA: Waziri Mwakyembe apata msiba mzito Reviewed by Zero Degree on 7/16/2017 01:14:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.