Loading...

Video: Chege akimshirikisha Ray C na Sanaipei Tande - 'Najiuliza'


Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Chege Chigunda ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao“Najiuliza” ambao ndani yake amewashirikisha Ray C na Sanaipei Tande.


Video hiyo imetengenezwa na Kwetu Studios, Lizer Classic pamoja na Dunga.

Kuitazama bofya hapo chini, usisahau kuacha maoni yako itamsaidi mkali wetu kujua nyimbo yake imepokelewa vipi:


Video: Chege akimshirikisha Ray C na Sanaipei Tande - 'Najiuliza' Video: Chege akimshirikisha Ray C na Sanaipei Tande - 'Najiuliza' Reviewed by Zero Degree on 7/07/2017 12:36:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.