Loading...

Sanchez tayari yupo fiti kuivaa Liverpool wikendi ijayo


Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez anatarajiwa kuanza kwenye kikosi cha kwanza kitakachoshuka kuikabili Liverpool Jumapili ya wiki hii.


Sanchez amekuwa akihusishwa kusajiliwa na Manchester City hivi karibuni baada ya klabu hiyo kuonyesha kumhitaji.

Hata hivyo dili la Sunchez kuhaka klabuni hapo linaelekea kuchacha baada ya kocha Arsene Wenger kutangaza kuwa mpango wake wa kumsajili Thomas Lemar kutoka Monaco umegonga mwamba.


Sanchez tayari yupo fiti kuivaa Liverpool wikendi ijayo Sanchez tayari yupo fiti kuivaa Liverpool wikendi ijayo Reviewed by Zero Degree on 8/24/2017 03:20:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.