Loading...

Video: Rayvanny – 'Chuma Ulete'


Nyota wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Rayvanny ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Chuma Ulete’, video ya ngoma hiyo imeongozwa na Eris Mzava.

Kutazama wimbo huo bofya hapo chini kisha usisahau kuacha maoni yako kulingana na jinsi utakavyokuwa umeupokea:

Video: Rayvanny – 'Chuma Ulete' Video: Rayvanny – 'Chuma Ulete' Reviewed by Zero Degree on 8/07/2017 02:11:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.