Loading...

Video: Tazama video ya wimbo wa kundi zima la WCB Wasafi – 'Zilipendwa'


Wasanii wanaofanya kazi chini ya lebo ya muziki ya WCB Wasafi, pamoja na boss wa lebo hiyo Diamond Platnumz na wasanii wake Rayvanny, Harmonize , ,Lavalava , Queen Darleen, Rich Mavoko na msanii wa zamani wa Yamoto Band Marombosso ‘Mbosso’, wameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Zilipendwa’, tazama hapa chini alafu toa komenti yako.

Video: Tazama video ya wimbo wa kundi zima la WCB Wasafi – 'Zilipendwa' Video: Tazama video ya wimbo wa kundi zima la WCB Wasafi – 'Zilipendwa' Reviewed by Zero Degree on 8/26/2017 09:25:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.