Loading...

Jukwa la wahariri [TEF] lapinga kufungiwa kwa gazeti la MwanaHalisi

Mwenyekiti wa TEF, Teophil Makunga
Jukwaa la Wahariri (TEF) limepinga Serikali kulifungia gazeti la MwanaHalisi kwa muda wa miaka miwili na kueleza kuwa adhabu hiyo inakiuka Sheria ya Huduma za Habari ya 2016.

Jukwa la wahariri [TEF] lapinga kufungiwa kwa gazeti la MwanaHalisi Jukwa la wahariri [TEF] lapinga kufungiwa kwa gazeti la MwanaHalisi Reviewed by Zero Degree on 9/20/2017 08:53:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.