Loading...

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) yatangaza nafasi 560 za kazi


Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inawatangazia watanzania wenye sifa kuomba kazi ya muda ya udadisi au ukusanyaji wa takwimu nafasi 560 kwa ajili ya Utafiti wa Kilimo wa Mwaka 2016/17 utakaofanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Utafiti huu unahitaji mwombaji atoke kwenye mkoa anaoishi na awe tayari kufanya kazi kwa kipindi chote cha mwezi mmoja (1).

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) yatangaza nafasi 560 za kazi Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) yatangaza nafasi 560 za kazi Reviewed by Zero Degree on 9/02/2017 08:06:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.